Kwa Pombe Mkapa Anatisha

Kwa Pombe Mkapa Anatisha

Tatizo letu watanzania kusifiana na kupongezana ila tukiulizana huyu magufuli kafanya nini hatuna majibu. Tuache upumbavu Magufuli hana lolote kama kazi ni kupiga kelele Mrema nagekua rais leo
 
Huyo kokoto ninani wakuu?mtujuze sisi tusiomuelewa.
 
Pombe ni bonge la waziri.

Mandela Road panachimbika.

Inapigwa lami kama ile ya Nyerere Road wanakopita mafisadi na misafara.

Sawa POMBE tunamkubali lakini Acheni ushabiki, ujenzi wa Mandela Rd. mbona ulianza zamani karibia wanamaliza, huyu kateuliwa juzi tu tayari amechukua ukiko!
 
Hili la mzee wa kokoto kupanga baraza la mawaziri la mkwere liko hewani siku nyingi na linaonekana kuwa na vinasaba vya ukweli. Inaweza kuwa ndiyo maana mkwere hajawapeleka ngurudoto kula bata?
mzee wa kokoto ni nani wengine hatumjui basi mtujuze
 
Au ofisi zibaki Dar, lakini wizara zijengwe Kinyerezi, Mbagala, Mwenge, Gongolamboto, n.k ili badala ya watu kuelekea upande mmoja wakati wa rush hour, wawe wanatawanyika. kwa mtindo huo foleni itadhibitiwa.

Na masoko vivyo hivyo.

lakini hii ya sasa wizara zote ziko Mtaa wa Shaaban Robert ni kichefuchefu.

Na Ikulu ihamishiwe Msoga hapo tutapata afueni ya kusimamishwa simamishwa Salma anapokwenda Saloon!!
 
Back
Top Bottom