Kuzini kunaua nyota!

Kuzini kunaua nyota!

Mwili wako ni hekalu takatifu la mungu.ukizin umungu ulioyo ndan yako unatoweka.mwil wako unaanza kuvamiwa na roho za giz zinaa pia inaua nyota yako unaanza kufel kimaisha,kimasomo nk tendo la ndoa ni zawad mungu aliyowabarikia wana ndoa.kama hujaoa na unazin ujuwe unajichimbia kabur mle
Mtu aziniye na mwanamke hana akili imeandikwa afanya jambo litakalomuangamiza nafsi yake.
 
Ujinga mwingi sana ninyi wafia dini,Nina jamaa zangu hapa ,Tena wawili, majogoo yao hayapandi mtungi, kama kufanya mapenzi Kuna ua nyota,mbona maisha yao ni magumu sana kuliko Mimi ninaye shenyenta K.?

Miminilishakataa kuhubiriwa dini na watu wa elimu za kuokoteleza, angalau kidogo naweza kumsikiliza padre,huyu ana elimu Dunia na elimu dini.
 
Vipi kukamata nyoka
 

Attachments

  • Screenshot_20261113_054301_Chrome.png
    Screenshot_20261113_054301_Chrome.png
    38.5 KB · Views: 6
Kuzini na mwanamke shida, kuzini na mwanaume mwenzio nako tabu, lipi jema sasa??
Imeandikwa Usilale na mwanamume mfano wa kulala na mwanamke; ni machukizo.

Usiikaribie Zinaaa ,ili kuhepuka kuzini ni kuhalalisha(ndoa)....na ndoa ni ya mwanamke na mwanamme.

Kwahiyo aziniye ni mtu anayefanya mapenzi na mtu ambaye si mmewe au mkewe na kwa mtu anayefanya hivyo basi hana akili.
 
Back
Top Bottom