Kutafuta Circle Mpya Dar

Kutafuta Circle Mpya Dar

Habari wana JamiiForums,

Ningependa kufahamu kama humu kuna vijana ambao wamepiga hatua kimaisha lakini wanakutana na changamoto ya kupata circle mpya ya watu wenye mtazamo na lifestyle inayofanana na yao.

Binafsi, bado nina umri mdogo (20’s) lakini nina kipato kizuri kiasi. Changamoto ninayokutana nayo ni kupata vijana wenzangu ambao tunaweza kuelewana, kubadilishana mawazo, kushare experiences, kutoka kupumzika mara moja moja na kufurahia maisha kwa pamoja.

Kama upo Dar es Salaam na unapitia hali inayofanana na hii, ningependa tufahamiane. Karibu DM.
Miaka ile Najiunga na JF.
Nilikuwa nawaza kama ww.

Kwamba hii ni kama Whatsapp group. Na kuwa huku kuna ndugu na marafiki. Hata kama haujawahi kukutana nao.

Lakini Sio hivyo mwanetu.
Kwahiyo Naomba uzoee.
 
Back
Top Bottom