Brave_Idiot
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 235
- 409
Focus na maisha yako dogo acha wenge
Ushauri tafuta kwa sisi wazee
We ni Me / KeHabari wana JamiiForums,
Ningependa kufahamu kama humu kuna vijana ambao wamepiga hatua kimaisha lakini wanakutana na changamoto ya kupata circle mpya ya watu wenye mtazamo na lifestyle inayofanana na yao.
Binafsi, bado nina umri mdogo (20’s) lakini nina kipato kizuri kiasi. Changamoto ninayokutana nayo ni kupata vijana wenzangu ambao tunaweza kuelewana, kubadilishana mawazo, kushare experiences, kutoka kupumzika mara moja moja na kufurahia maisha kwa pamoja.
Kama upo Dar es Salaam na unapitia hali inayofanana na hii, ningependa tufahamiane. Karibu DM.
usije watoa wenzio kafara bure
Njoo kesho kitambaa cheupe
We ni Me / Ke
Nilivyoona post original tu, nikajisemea mwenyewe.usije watoa wenzio kafara bure
Huwa haiombwi hivyo! 😂😂😂...kupata vijana wenzangu ambao tunaweza kuelewana, kubadilishana mawazo, kushare experiences, kutoka kupumzika mara moja moja na kufurahia maisha kwa pamoja.
Changamoto yako ni immaturity. Connections zinatakiwa zikutafute siyo wewe uzitafute.
This comment,Watu hawana jema kijana watakubandua