Royal Son JF-Expert Member Joined Dec 22, 2016 Posts 1,690 Reaction score 3,190 May 22, 2025 #1 Habari wakuu kuna Shabiki wa mpira wa timu ya WANITESA UNITED hata salamu hapokei haoneshi ushirikiano kazini kwani kunanini kinaendelea huko MNIJUZE
Habari wakuu kuna Shabiki wa mpira wa timu ya WANITESA UNITED hata salamu hapokei haoneshi ushirikiano kazini kwani kunanini kinaendelea huko MNIJUZE
Nifah Platinum Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,419 Reaction score 82,422 May 22, 2025 #2 Na wangechukua hilo kombe Arsenal tungekoma, dah!
MUBENDE JF-Expert Member Joined Nov 11, 2022 Posts 1,736 Reaction score 2,975 May 22, 2025 #3 Nifah said: Na wangechukua hilo kombe Arsenal tungekoma, dah! Click to expand... Tupo wengi ofisini leo wamenuna balaa
Nifah said: Na wangechukua hilo kombe Arsenal tungekoma, dah! Click to expand... Tupo wengi ofisini leo wamenuna balaa
Nifah Platinum Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,419 Reaction score 82,422 May 22, 2025 #4 MUBENDE said: Tupo wengi ofisini leo wamenuna balaa Click to expand... Walitaka wachukue waanze kutusema pamoja na kuwa na msimu mzuri lakini hatuna kikombe chochote, vivyo hivyo kwa City pia. Safari hii Mungu ametupumzisha Arsenal na masimango kutoka jiji la Manchester.
MUBENDE said: Tupo wengi ofisini leo wamenuna balaa Click to expand... Walitaka wachukue waanze kutusema pamoja na kuwa na msimu mzuri lakini hatuna kikombe chochote, vivyo hivyo kwa City pia. Safari hii Mungu ametupumzisha Arsenal na masimango kutoka jiji la Manchester.
Royal Son JF-Expert Member Joined Dec 22, 2016 Posts 1,690 Reaction score 3,190 May 22, 2025 Thread starter #5 Watu wamenuna. Kama tuna Ugomvi team za waingereza zikikosa Kombe s watu huku Nalinjilinji wananuna mpaka kupasuka
Watu wamenuna. Kama tuna Ugomvi team za waingereza zikikosa Kombe s watu huku Nalinjilinji wananuna mpaka kupasuka
ivanmark714 Senior Member Joined Jul 13, 2019 Posts 109 Reaction score 191 May 22, 2025 #6 yani hatari kama wameonewa vile😁 #ynwa
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 180,283 Reaction score 197,786 Sep 5, 2025 #7 Yamegengwa yajayo... Cc: Mahondaw