Kijarida cha "Cheche za Fikra" chatoka!

Kijarida cha "Cheche za Fikra" chatoka!

Hongera mkuu nimeona mambo yako.Cosider tu maneno ya wadau ili kukiboresha.cc wengine tutakuwa tuasambaza kupitia mail list zetu.Binafsi nina mail list kama ya watu 160 hivi hivyo ukinifowadia basi be sure 160 people will read it.

augustoons.. tume email kwa mhariri@klhnews.com ili tuweze kukuweka kwenye wasambazaji wetu.

Asante. Na kama una wazo lolote la kisheria kwa kifupi tutumie pia.
 
Mwanakijiji katika Kijarida chako cha pili naona umeanza kuteleza kwa kuandika mambo yasiyo ya msingi.Kuna habari imeandikwa kuhusu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Ngeleja.Umeandika Uhalisia kwa kujenga chuki zisizo na msingi kati yake na wawekezaji wa kikorea na wananchi .

Mwandishi (B Mwalukasa) amelazimisha mambo bila sababu ya msingi, issue haikuwa kumkimbia Mhe. Waziri ila issue ilikuwa Wakorea wale walitoka baada ya mheshimiwa Waziri kumaliza kuongea.

 Wiki si nyingi zilizopita Waziri wa Nishati na Madini Bw. Wiliiam Ngeleja (pichani) alijikuta anakimbiwa na wasikilizaji wake wakati wa ufunguzi wa Semina mojawapo ya mambo ya madini huko Mpwapwa, Dodoma. Wasikilizaji hao ambao ni wananchi kutoka Korea waliamua kutoka wakati Waziri anazungumza aidha kwa kuwa walichoka, au walikuwa hawajali kili-chokuwa kinazungumzwa kwani hiyo ilikuwa ni semina iliyoandaliwa na CCM.

Ukweli ni kwamba Wakati Mheshimiwa Waziri anaongea wale wakorea walikuwepo, hivyo ilionekana uwepo wao ulikuwa kwa ajili ya waziri pekee na siyo kwa wananchi

Pili wakorea walitarajia Watu wote waongee kiingereza badala ya kiswahili chetu.

Mzee Mwanakijiji nakushauri usome vizuri magazeti yaliyoripoti story hiyo,na kamwe usipindishe ukweli sababu inakufanya uonekane mtu usiye na maana na jamii kwa kupenda sana speculation.

Hii ni mara ya pili Mwanakijiji kuandika habari za uongo kuhusu mhe. Ngeleja na kama ukikumbuka Mara ya kwanza uliandika kuhusu yeye ukielezea kuhusishwa na mahusiano ya kifamilia na Mhe. Lowassa,yaani wameona katika familia Moja..

Mzee Mwenzangu Anayekupa habari hizi anakupotosha,na nakusihi sana fanya utafiti kabla ya kuzungumza.Mie nimefuatilia suala hilo kw aukaribu sana na nimegundaua habari hiyo ilikuwa na nia mbaya.

Gembe.

MKJJ ngoja nisema kweli niende mbinguni,
Haka kijarida ni noma yaani watu wanakapenda sana,Kazi ninzuri watu wanakapenda sana katika watu woote nilio wa printia kila moja anahitaji copy ya leo.
Ukweli ndio huo.
Kazi yako imekubarika.
 
nakuomba mwanakijiji, ujaribu kuwa mzalendo wa kweli.
Usimchikie mtu personaly ila uchukie jambo alilolifanya au utendaji wake.
Kuna mambo mazuri tu yamefanywa na baadhi ya viongozi ambao wamefanya mambo mabaya pia (kama mimi na wewe)
hivyo isijeikawa tunashindwa hata kukubali mambo mazuri au mambo ya kawaida ambayo hayana tatizo.
Asilimia kubwa ya viongozi wetu, wameshapokea rushwa kubwa, lakini utendaji wao sometime unakwenda vizuri, ndio system yetu ilivyo. Kukwepa rushwa ni tatizo kubwa sana kuliko kuikubali.
Tusijikwamishe wenyewe tukajikuta hata ule morali kidogo wa viongozi umeisha, wanaenda kufanya kazi vyovyote tu wanavyojua, wakiwa na uhakika wananchi wanawachukia 100%
 
Siku zote jambo moja baya linalofanywa na binadamu ufuta mazuri yote aliyokwisha kuyafanya hapa duniani,mazuri ukumbukwa akisha kwenda ahera.
Cha msingi ni habari yenyewe inaukweli kiasi gani. hiyo ndio hoja
 
Badala ya kushutumu, msaidieni Mhariri kupata habari za uhakika.
Nimemaliza kukisoma kijarida, ni mwanzo mzuri ,Mhariri anahitaji pongezi kuliko shutuma.
 
Badala ya kushutumu, msaidieni Mhariri kupata habari za uhakika.
Nimemaliza kukisoma kijarida, ni mwanzo mzuri ,Mhariri anahitaji pongezi kuliko shutuma.

Kushtumiwa ni lazima sababu mambo ya kupotosha hayatakiwi..
 
MWKJJ,hata sisi hapa bongo watu hata wafanye nini hatu wapi haki yao ya pongezi badala yake twawashtumu mimi nadhani lengo nikutufahamisha wapenzi wa kajari mapungufu nikawaida sio mtu unalalamika utadhani jarida linauzwa kumbe ni bure tu!.
 
Thinkpad.. don't worry it comes with territory. Haya mapambano yatapiganwa tu.
 
Mwanakijiji,

Hivi hiki "kijarida" kimesajiliwa na au kina operate "upupu" tu. Nauliza hivi kwa sababu nime print few copies na kuwagawia watu wa karibu wengine wakaanza kusema nasambaza "nyaraka" za "uchochezi" sasa kabla hayanifika makuu naomba msaada kwa hilo mzee mwenzangu
 
Kwani wewe unaonaje? Nyaraka za uchochezi kivipi? Si kuna facts?
 
Masatu kijarida hakijasajiliwa....Sina hakika na taratibu za nchi yetu zikoje...

Prof. Njozi alipoandika kitabu cha mwembechai, kikapigwa marufuku na kimebaki mtandaoni..hadi Mkapa anamaliza muda wake alikuwa hajakisamehe MwembeChai Killings...

Ushauri wangu kwa Mhariri ni vema ukafanya juhud za kukisajili ili kuepuka madhara yasiyokuwa na sababu. pia kwa uoni wangu kukiuka Taratibu za nchi ni sehem ya ufisadi
 
kuziogopa taratibu za kifisadi nao ni ufisadi!
 
Mwanakijiji,

What bugs me is this cloud of fear that Watanzania always have! Kijarida kinaongopa

You know what? I will start chain emails similar to Jitu Patel email and spread whatever I want to every Tom, Dick and Harry, add Sally and Hellen of Tanzania including those in power to hear the message!

Mnalalamika mnapuuzwa, mnadhulumiwa halafu mnaanza kuleta eti "haki za uandishi na taratibu za majarida na magazeti'?

Haki hakuna Tanzania ndio maana wezi wa EPA wamepewa msamaha nyie mnadanganywa na mnaandamana kuunga mkono hotuba ambayo hamkuielewa!
 
Back
Top Bottom