Mwalimu JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 1,602 Reaction score 1,094 Feb 16, 2010 #1 Kazi nyingine kwa kweli mh.....! Attachments bad-job.jpg 10.4 KB · Views: 439
Pape JF-Expert Member Joined Dec 11, 2008 Posts 5,487 Reaction score 86 Feb 16, 2010 #2 kazi kazi tu bora mkono uende kinywani
Pearl JF-Expert Member Joined Nov 25, 2009 Posts 3,036 Reaction score 321 Feb 16, 2010 #3 Tena wakati wa maombi unaandika "your faithfully"wako mtiifu
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 79,205 Reaction score 169,092 Feb 16, 2010 #4 Halafu kazi za hatari, ngumu na mbaya ndio daima mishahara yake huwa inakuwa kiduchuuuu
Emanuel Makofia JF-Expert Member Joined Jan 5, 2010 Posts 3,831 Reaction score 637 Feb 16, 2010 #5 raha kweli kweli
Renegade Platinum Member Joined Mar 18, 2009 Posts 7,984 Reaction score 8,662 Feb 18, 2010 #7 mwalimu said: Kazi nyingine kwa kweli mh.....! Click to expand... Du hii Hatari. Hapa lazima kuandika hati ya urithi kabla ya kwenda kazini.!!!!!
mwalimu said: Kazi nyingine kwa kweli mh.....! Click to expand... Du hii Hatari. Hapa lazima kuandika hati ya urithi kabla ya kwenda kazini.!!!!!
M madizo New Member Joined Feb 12, 2010 Posts 4 Reaction score 0 Feb 18, 2010 #8 sasa ni ukata kama ni kampuni kweli ifungwe imeshindwa kununua mfuko wa cement ila wanaweza kumlipa mtu kila mwisho wa mwezi
sasa ni ukata kama ni kampuni kweli ifungwe imeshindwa kununua mfuko wa cement ila wanaweza kumlipa mtu kila mwisho wa mwezi