Malaria Sugu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2009
- 12,515
- 15,703
Na ndio baadhi ya wanajf mlioanza kumwaga matusi ya nguoni hapa jukwaani. Una mchango mkubwa katika kuharibu jukwaa hilo ukiongozwa na hisia za kidini.Nakumbuka miaka 2010,2011,2012 ,2013 Dkt Slaa alivyokuwa akichangia na akijibu maswali mbali mbali kupitia jf.
Namkumbuka zaidi pale Post zangu zilikuwa hazimpiti, lazima akizichangia
Dkt Slaa tunajuana zamani, Karibu tena
Uniheshimu sana, umejiunga jf wakati jf imeshapita ktk misuko sukoNa ndio baadhi ya wanajf mlioanza kumwaga matusi ya nguoni hapa jukwaani. Una mchango mkubwa katika kuharibu jukwaa hilo ukiongozwa na hisia za kidini.
Misukosuko ya matusi ama ipi? Na misukosuko ilikuwa ipi na lini, maana tofauti mimi na ww hapa jukwaani kwa hii id yangu ni miaka miwili.Uniheshimu sana, umejiunga jf wakati jf imeshapita ktk misuko suko
huyo sangwenya hana jipya tena,Nakumbuka miaka 2010,2011,2012 ,2013 Dkt Slaa alivyokuwa akichangia na akijibu maswali mbali mbali kupitia jf.
Namkumbuka zaidi pale Post zangu zilikuwa hazimpiti, lazima akizichangia
Dkt Slaa tunajuana zamani, Karibu tena
Swali dogo tu. Kwanini ulihame chadema na kuhamia ccm na kurudi tena chadema? Eti kweli ni swala la dini limekusukuma?
Wakati huo itakuwa ndio kwanza unapewa kinyonyo unyonye Wakati Dkt Slaa na mimi tunajenga hoja humu ukumbinihuyo sangwenya hana jipya tena,
tamaa na usaliti vinamshikisha adabu kwa sasa
Miaka 2 mingi sana hioMisukosuko ya matusi ama ipi? Na misukosuko ilikuwa ipi na lini, maana tofauti mimi na ww hapa jukwaani kwa hii id yangu ni miaka miwili.
Nakukubali mkuu.Miaka 2 mingi sana hio
Kwa udiniNakukubali mkuu.
Long time, ulikuwa ukichachafya hapa JF.
Kila kitu, huyo ndio Malaria Sugu OG. Akitia watu tumbo joto.Kwa udini
udini unawasumbua sana watuNa ndio baadhi ya wanajf mlioanza kumwaga matusi ya nguoni hapa jukwaani. Una mchango mkubwa katika kuharibu jukwaa hilo ukiongozwa na hisia za kidini.
nilikuwepo,Wakati huo itakuwa ndio kwanza unapewa kinyonyo unyonye Wakati Dkt Slaa na mimi tunajenga hoja humu ukumbini
Aliwatia tumbo joto wajinga wenzake wenye harufu ya ubaguzi wa diniKila kitu, huyo ndio Malaria Sugu OG. Akitia watu tumbo joto.
Ilikuwa haiwezekani ukashindana nae na ukashida. Utakula vipondo vya haja. 😅Aliwatia tumbo joto wajinga wenzake wenye harufu ya ubaguzi wa dini
Hiyo miwili ndio ilikuwa na misukosi na ww ndio uliimaliza ama?Miaka 2 mingi sana hio
Kabisa, kama huyu mpuuzi alikuwa anaona dini ni kitu cha maana kweli.udini unawasumbua sana watu
mwenzako anajipanga kugombea 2030Mapambano kashamaliza Dk Slaa kwasasa apunzike kwa utulivu mkubwa,
Habari zako mkuu?mwenzako anajipanga kugombea 2030