fimboyaukwaju JF-Expert Member Joined Aug 3, 2020 Posts 6,707 Reaction score 9,344 Oct 28, 2024 #1 Kwenye benchi la Namungo yupo ngawina ngawina, kocha mgunda hayupo. Kuna nini, si alitajwa kuwa ndiye Kocha Mkuu wa Namungo?
Kwenye benchi la Namungo yupo ngawina ngawina, kocha mgunda hayupo. Kuna nini, si alitajwa kuwa ndiye Kocha Mkuu wa Namungo?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 180,107 Reaction score 197,670 Oct 28, 2024 #2 Yupo na mambo yake... Cc: Mahondaw
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 37,116 Reaction score 73,841 Oct 29, 2024 #3 Labda yupo na Taifa staz
Yoav Gallant JF-Expert Member Joined May 23, 2023 Posts 2,984 Reaction score 6,408 Oct 29, 2024 #4 Utamuona siku makolo wakihitaji kocha wa dharura
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 16,235 Reaction score 15,659 Oct 29, 2024 #5 Mpaka avute kibunda, timu za kibongo saundi bwena, weka mzigo naripoti kamboni.