JOB VACANCY: PERSONAL ASSISTANT & OPERATIONS ASSISTANT

JOB VACANCY: PERSONAL ASSISTANT & OPERATIONS ASSISTANT

youngkato

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
3,897
Reaction score
4,072
JOB VACANCY: PERSONAL ASSISTANT & OPERATIONS ASSISTANT

VICTORIA AGENCY (Mwanza Branch)

Victoria Agency inatafuta msichana mwenye uwezo, ubunifu, nidhamu na passion ya kazi ambaye atatusaidia kusimamia shughuli mbalimbali za kila siku za agency.

Tunatafuta mtu ambaye yuko tayari kufanya kazi kwenye mazingira ya Digital Marketing, Content Creation, Branding na Business Development.

Hii ni nafasi kwa mtu anayependa kujifunza, anaweza kufanya kazi kwa kujitegemea na ana nia ya kukua pamoja na kampuni.

KEY RESPONSIBILITIES (MAJUKUMU YA KAZI)

Customer Care: Kujibu WhatsApp messages, kupokea orders, kujibu maswali ya wateja na kufuatilia potential clients.

Social Media Management: Kusimamia social media accounts za Victoria Agency, ikiwemo Instagram, Facebook, TikTok na LinkedIn.

Content Creation: Kuandaa content ideas, captions, post descriptions na kusaidia kupanga content calendar.

Graphic Design: Kutengeneza posters, promotional materials na social media designs kwa kutumia Canva.

Video Editing: Kufanya basic video editing kwa kutumia CapCut.

Marketing & Sales: Kusaidia kutangaza huduma za agency, kutafuta new clients na kufuatilia sales opportunities.

Client Management: Kufuatilia clients, kupokea project requirements na kuhakikisha wateja wanapata huduma nzuri.

Administrative Tasks: Kusimamia daily activities, kupanga documents, records na taarifa mbalimbali za agency.

Digital Services Management: Kusaidia kusimamia maombi ya wateja wanaohitaji digital subscriptions na huduma nyingine za agency.

General Operations: Kusaidia kuhakikisha daily operations za Victoria Agency zinaenda vizuri na kazi zinakamilika kwa wakati.

REQUIREMENTS (SIFA ZA MWOMBAJI)

Awe na good communication skills.

Awe anajua kutumia smartphone na computer.

Awe na basic knowledge ya Canva.

Awe na basic knowledge ya CapCut.

Awe na uelewa wa social media platforms.

Awe anajua kutumia WhatsApp Business.

Awe creative na mwenye innovative ideas.

Awe organized na mwenye time management skills.

Awe trustworthy, honest na responsible.

Awe na uwezo wa kufanya kazi independently bila kusimamiwa kila wakati.

Awe tayari kujifunza new skills.

WHO ARE WE LOOKING FOR?

Hatutafuti mtu wa kusubiri kupewa instructions kila dakika.

Tunatafuta mtu mwenye initiative, anayeweza kuona jambo linalohitaji kufanyika na kuchukua hatua.

Mtu ambaye anaweza kushughulikia majukumu mbalimbali, kuwasiliana vizuri na clients, kujifunza haraka na kusaidia kuifanya Victoria Agency ikue.

Experience kwenye Digital Marketing, Customer Service, Social Media Management au Online Business ni added advantage.

HOW TO APPLY

Kama unaona una uwezo wa kufanya kazi hizi na ungependa kuwa sehemu ya Victoria Agency, tutumie maombi yako kupitia WhatsApp:

+255693880325

Unapotuma maombi, tafadhali tuma:

Full Name.

Short Introduction kuhusu wewe.

Skills ulizonazo.

Previous Work Experience kama unayo.

NOTE: Hata kama huna experience kubwa, lakini una basic skills, unajifunza haraka na una willingness to work, unaweza kuomba.

VICTORIA AGENCY

Creativity | Digital Marketing | Branding | Business Growth
 
Back
Top Bottom