TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 32,044
- 19,309
Mimi si mwoga, na huwa nawaandikia mods au kuripoti kinachonikwaza... huwa natumia demokrasia yangu vizuri sanaha ha ha, acidi na wewe unaogopa kusema? halafu tunakaa hapa kila siku mahasira mengi eti kwenye vyama hakuna demokrasia, mbona unaogopa kusema kuhusu JF?
PS: Mkiona gurudumu hachangii tena humu mjue amekatwa shingo tayari!!!!
Ila ukae ukielewa hata mods ni watu na wanaweza kabisa kuwa na mapungufu yao, na kwahilo pia huwa nawaambia kwa kutumia kile kitufe cha mshangao i.e. !
Kulalama ni hulka fulani hivi mkuu