VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,489
- 1,466
Mkutano huu unaotarajiwa jijini Kigali, tarehe 19-20 Mai 2025, ni sehemu pia ya maonyesho ya dhana za kivita za kisasa; utajumuisha mataifazaidi ya 60. Zitakuwemo drones, magari maalum kwa ajiri ya shughuli za kiusalama