Ile Kesi ya Dokta Slaa iliishia wapi?

Ile Kesi ya Dokta Slaa iliishia wapi?

Nijuavyo yule mume alihongwa na CCM kufungua kesi. Sasa uchaguzi umeisha wamemwacha kwenye mataa.

Alaa, kumbe alikuwa ni mumewe kweli? Na jee, ni kweli huyu Dokta Slaa alikuwa akitembea nae (yaani chumachake) na hali na yeye nasikia ana mke? Duh, sasa hii inakaaje kwa mtu anaetaka kutuongoza? Nadhani kama usemayo ni kweli kuwa CCM wamemuhonga "mume" akashitaki, itakuwa wamefanya la maana, kwani wengine tusingejuwa uozo wa wanaowania uongozi kwa joho la uchungaji, tungedhani kwa kuwa ni mchungaji angetufaa sana, lakini kumbe, duh, ni kilemba cha ukoka tu. Kama ni kweli kachukuwa mke wa mtu, huyu hana maana hata kidogo, wala hawezi kuwa kiongozi mwema.
 
Sasa msaidie wewe "kuongoja nyumba yake." Mahakama yepi inayozingatia true justice? Si wameshahongwa na ccm, maana wanajua han ahatia. Kama ni hatia mbona huyo mwanamke msimseme? Why Doc, kwa sababu mnamwogopa, na kutafuta kumwangusha kwa jambo dogo hilo? Mjaribu kwa hoja za kisiasa, si umeona hata Jeky alivyoanguka jukwaani kwa kuogopa mtu msema kweli? We, usishindane wa watu ambao wameiva kisiasa, hilo haliwezi kupunguza integrity yake kwa wananchi, kwani watanzania wanaognozwa na Canon law?
 
Kumbe kweli kachukuwa mke wa mtu? Duh, nilidhani unaelewa kuwa wa Tanzania tunataka kuongozwa na mtu muadilifu na si fisadi wa wake za watu. Halafu ya siasa tusha yamaliza Rais ni JMK. Sasa tuchambuwe haya ya huyu alietaka kutuongoza akakosa, angepata na habari ndio kama hizo, ana kesi ya kuweka kimada mke mtu, sijui ingekuwaje?
 
Kikwete ana sifa zipi if you honest to yourself? Kukumbatia ufisadi? Unajua implications za yeye kukumbatia ufisadi kwa watanzania, including you japo huoni maana you are blinded just like wale wanaompigia makofi. at least wale wanapata kula ya kutosha as long as he lasts, sijui wewe kama hata unafaidi sana. Kama ni integrity ya viongozi, ebu weka list zao hapa na hizo sifa zao, hapo ndipo tutaendeleza nada hii; otherwise kwavile unataka ku=distract watu from crucial issues, go ahead but you will end up alone.
 
mbona huongelei ya Vicky Kamata.... na mkwere au batilda buriani na Monduli
 
Alaa, kumbe alikuwa ni mumewe kweli? Na jee, ni kweli huyu Dokta Slaa alikuwa akitembea nae (yaani chumachake) na hali na yeye nasikia ana mke? Duh, sasa hii inakaaje kwa mtu anaetaka kutuongoza? Nadhani kama usemayo ni kweli kuwa CCM wamemuhonga "mume" akashitaki, itakuwa wamefanya la maana, kwani wengine tusingejuwa uozo wa wanaowania uongozi kwa joho la uchungaji, tungedhani kwa kuwa ni mchungaji angetufaa sana, lakini kumbe, duh, ni kilemba cha ukoka tu. Kama ni kweli kachukuwa mke wa mtu, huyu hana maana hata kidogo, wala hawezi kuwa kiongozi mwema.
Kwa hiyo ulichokuwa unatafuta si mwenendo wa kesi bali jukwaa kwako kufanya comment kuhusu kufaa au kutofaa kwa Dr Slaa kuwaongoza Watanzania.
 
Kuna ukweli katika hayo uliyoandika, na kwa kukuhakikishia nilikuwa nataka kujuwa kama hukumu imetoka ili nijuwe nimweke kundi lipi, la kondoo waliopotea au la mchungaji alie bobea. Nadhani jibu hata wewe umeshalipata.
 
Back
Top Bottom