VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,492
- 1,466
Umuvugizi wa RIB, Dr. Thierry Murangira, yatanze ubutumwa bukomeye: abahitamo gukwirakwiza ingengabitekerezo ya Jenoside ku mbuga nkoranyambaga bakwiye kuzirikana ingaruka z’ibyo bakora. Guhitamo kubiba urwango ni ukwiyemeza gukurikiranwa n’amategeko.
Msemaji mkuu wa idala ya upelelezi nchini Rwanda,amewaonya wote wanaojihusisha na tabia ya kukana mauaji ya kimbali dhidi ya watutsi, kuwa wajue kwamba wakati wowote mkono wa sheria utawafikia popote walipo.