Asanteni (Wabeja Gutogwa) Belo, Bubu na Mbu. Kisu cha kuwachoma mafisadi lakini wapo mbali na mimi. Nipo Oman lakini nilikulia usu*umani na nilimaliza ya msingi huko na moyo upo TZ, namshukuru BABA WA TAIFA kunisomesha bure. Mungu ibariki Tanzania, wake kwa waume na watoto. Asanteni.😎