Matumaini yangu wote mpo katika afya njema. Nafurahi kujiunga na JF na nadhani kuna faida ya kuelimika ingawa sipati wakati wa kutosha kutembelea JF kwa sababu ya kuwa bize sana, lakini nitajaribu kubajet time. Asanteni.🙂😉

Sawasawa ngosha/mayū.Asanteni (Wabeja Gutogwa) Belo, Bubu na Mbu. Kisu cha kuwachoma mafisadi lakini wapo mbali na mimi. Nipo Oman lakini nilikulia usu*umani na nilimaliza ya msingi huko na moyo upo TZ, namshukuru BABA WA TAIFA kunisomesha bure. Mungu ibariki Tanzania, wake kwa waume na watoto. Asanteni.😎