Hii ni maajabu.

Hii ni maajabu.

Mushkov

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2024
Posts
683
Reaction score
1,431
Unashtakiwa kwa kosa la kuiba ng'ombe mwishowe unafungwa kwa kosa la kuendesha gari ukiwa umelewa. Wakati huo Jaji yupo comfortable kukusomea kifungo.
Hii ni maajabu kweli kweli.
 
Unashtakiwa kwa kosa la kuiba ng'ombe mwishowe unafungwa kwa kosa la kuendesha gari ukiwa umelewa. Wakati huo Jaji yupo comfortable kukusomea kifungo.
Hii ni maajabu kweli kweli.
vibwengo katika sheria wakikutana bana ni mwendo wa kupotoshana na kujazana maujinga tu:pedroP:
 
Back
Top Bottom