TWISA Member Joined Aug 28, 2010 Posts 28 Reaction score 0 Nov 10, 2010 #1 Habari wakubwa, naomba kadi ya JF.
Superman R I P Joined Mar 31, 2007 Posts 5,693 Reaction score 1,708 Nov 10, 2010 #2 Karibu Kamanda. Hakuna kadi JF. Ila unaweza kuchangia kwa hiari maana inajiendesha kwa Michango ya Wanachama.
Karibu Kamanda. Hakuna kadi JF. Ila unaweza kuchangia kwa hiari maana inajiendesha kwa Michango ya Wanachama.
Genekai R I P Joined Feb 9, 2010 Posts 12,514 Reaction score 5,007 Nov 10, 2010 #3 Karibu mkuu, naona umeingia na avatar!
TWISA Member Joined Aug 28, 2010 Posts 28 Reaction score 0 Nov 10, 2010 Thread starter #4 Superman said: Karibu Kamanda. Hakuna kadi JF. Ila unaweza kuchangia kwa hiari maana inajiendesha kwa Michango ya Wanachama. Click to expand... Thanks mkuu, ukikaa na wenye hekima, sikumoja utakuwa mwelevu. tupo pamoja
Superman said: Karibu Kamanda. Hakuna kadi JF. Ila unaweza kuchangia kwa hiari maana inajiendesha kwa Michango ya Wanachama. Click to expand... Thanks mkuu, ukikaa na wenye hekima, sikumoja utakuwa mwelevu. tupo pamoja
TWISA Member Joined Aug 28, 2010 Posts 28 Reaction score 0 Nov 10, 2010 Thread starter #5 genekai said: Karibu mkuu, naona umeingia na avatar! Click to expand... Asante mkuu wangu, avatar??, utajulikanaje???,ndoo hivyo kusukuma gurudumu la maendeleo kwa upande wa pili, lengo tufike!!!!
genekai said: Karibu mkuu, naona umeingia na avatar! Click to expand... Asante mkuu wangu, avatar??, utajulikanaje???,ndoo hivyo kusukuma gurudumu la maendeleo kwa upande wa pili, lengo tufike!!!!
Igwamanoni Member Joined Apr 21, 2010 Posts 25 Reaction score 0 Nov 10, 2010 #6 Karibu komredi, kwema utokako?
TWISA Member Joined Aug 28, 2010 Posts 28 Reaction score 0 Nov 10, 2010 Thread starter #7 Igwamanoni said: Karibu komredi, kwema utokako? Click to expand... . Kwema kabisa!!, tupo pamoja.