Hello wajameni

Hello wajameni

Flee

Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
14
Reaction score
0
wakubwa shikamooni, wadogo marahaba, saizi yangu mambo vipi? mwenzenu nilikuwepo ila siku jitambulisha rasmi. naomba mnikaribishe humu jamvini.:drum:😛eace:
 
wakubwa shikamooni, wadogo marahaba, saizi yangu mambo vipi? mwenzenu nilikuwepo ila siku jitambulisha rasmi. naomba mnikaribishe humu jamvini.:drum:😛eace:
Usiseme walio saizi yako, sema unaolingana nao.
Uliingia kimya kimya, nini kimekusibu huko duniani hadi urudi stage ya utotoni?
Karibu sana mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom