Q Quinine Platinum Member Joined Jul 26, 2010 Posts 25,923 Reaction score 63,612 Sep 23, 2026 #1 Mhe. Heche amefanya mkutano wa hadhara leo meatu. Kesho atakuwa Bariadi mjini, wanachama na wadau mnaombwa kujitokeza kwa wingi ✌️
Mhe. Heche amefanya mkutano wa hadhara leo meatu. Kesho atakuwa Bariadi mjini, wanachama na wadau mnaombwa kujitokeza kwa wingi ✌️
Hussein Mbega JF-Expert Member Joined Jun 7, 2026 Posts 573 Reaction score 1,282 Sep 23, 2026 #2 Safi sana.
N NgerukeAbra JF-Expert Member Joined Sep 5, 2022 Posts 4,263 Reaction score 5,803 Sep 23, 2026 #3 Hiki chama kitakufa lini?
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 53,131 Reaction score 104,804 Sep 23, 2026 #4 ajabu wanawaweka sehemu zilizobana...lakini wanafurika kupita kuwa uwanjani
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 143,567 Reaction score 290,143 Sep 23, 2026 #5 Nchi ishakombolewa, tunasubiri wakati tu
A akili mwili mzima JF-Expert Member Joined Nov 13, 2025 Posts 2,855 Reaction score 5,912 Sep 23, 2026 #6 Ma ccm yakiona hivyo yananunaaa
M mkulimamiwa JF-Expert Member Joined Mar 4, 2025 Posts 2,619 Reaction score 5,365 Sep 23, 2026 #7 Ila Chadema...???? Kimepitia magumu ya Kila namna, na kadiri kinavyozidi kukandamizwa, ndivyo kinavyozidi kupendwa na Malika yote Tanzania Hiki chama hakiwezi kufa kwa figisu figisu za kijinga kijinga ambazo CCM wanafanya
Ila Chadema...???? Kimepitia magumu ya Kila namna, na kadiri kinavyozidi kukandamizwa, ndivyo kinavyozidi kupendwa na Malika yote Tanzania Hiki chama hakiwezi kufa kwa figisu figisu za kijinga kijinga ambazo CCM wanafanya
Tindo Platinum Member Joined Sep 28, 2011 Posts 72,233 Reaction score 129,892 Sep 23, 2026 #8 Peleka moto Heche, mbinu outdated za ccm kuua vyama vya upinzani kwa cdm zimegongwa maana.
binti kiziwi JF-Expert Member Joined Aug 4, 2014 Posts 17,312 Reaction score 48,406 Sep 23, 2026 #9 Upinzani ni asili 🔥