Maroun MU
Member
- Jul 21, 2012
- 97
- 4
Hy ni mdogo wangu ambaye anaanza masomo ya Degree ktk chuo cha UHASIBU Dar Es Salaam...lilomkuta leo wakat akigomvania daladala maeneo ya kariakoo akaibiwa walet yake yenye vitambulisho vyote vya bank,chuo,mzanzibar mkaaz na pia number yale ya chuo aliyopewa juzi tuu na pesa kias cha laki 2.....hz pesa hauumiz kichwa tatizo kitambulisho cha chuoo hajui aanze wapi na ndio mwaka wa kwanza hata kusoma hawajaanza....na leo kitambulisho ndio kapewa hapo chuon kwao.....Msaada wana JF