Hadithi ya Adam na Hawa katika Quran

Hadithi ya Adam na Hawa katika Quran

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
65,768
Reaction score
113,032
Wote wawili Adam na Hawa walikuwa na wajibu sawa kwa kula tunda

Waliomba msamaha

Allah aliwasamehe

Hakuna aliyelaaniwa. Mwanamke hakupewa adhabu ya kuzaa kwa uchungu, mwanaume hakupewa adhabu ya kula kwa jasho na wala Nyoka hakupewa adhabu ya kutambaa kwa tumbo.

Hakuna dhambi ya kurithi kwa uzao wao

Waliondoka bustanini kama mpango wa mungu na sio adhabu.
 
Na kwa wahindu wao wana hadithi hiyo hiyo lakini imetofautishwa kidogo kama kwenye Bible na Furqan.
 
Back
Top Bottom