Guest house za bei nafuu Dar

Guest house za bei nafuu Dar

Mgegedo

Member
Joined
Jan 19, 2018
Posts
91
Reaction score
89
Heshima kwenu washikadau

Embu kwa wenye uzoefu tutajiane Guest House za bei nafuu kwa hapa Dar hasa maeneo ya Sinza na Manzese na hata maeneo mengine

Bei kuanzia 10k,15k au 20k

Karibuni
 
Zipo mpaka za elfu tano mapambano pale zipo gud tu self kuanzia elfu saba mpaka kumi pia kuna lodge pale pale kuanzia elfu 20 tv fen choo ndan raha sana wewe tu sasa ushindwe sheikh
 
Hahahaha hutaki usumbufu baadae? Unataka zenye double entry au single entry? Unataka ambazo gari unaificha au za kuficha boda boda? Unataka zenye bar nje au zenye makazi ya watu dizaini?
 
Zipo mpaka za elfu tano mapambano pale zipo gud tu self kuanzia elfu saba mpaka kumi pia kuna lodge pale pale kuanzia elfu 20 tv fen choo ndan raha sana wewe tu sasa ushindwe sheikh
Mkuu za 5000 sinza sehemugani
 
Ukizoea mke wa mtu sahau coming

Yaan atakupa kile kwa mkeohujawahi ona utasema yes

Weweeewe

Napitatu
 
mAPAMBANI NYINGI ZIMEPANDA BEI NAHISI ONGEZEKO LA FUEL

ZA 5000 NW 15000

ZA 10000 NW 20000
 
Back
Top Bottom