Gen-z tulizeni mori!

Nashaangaa sana vijana wadogo kufunga ndoa halafu ghafla mwaka ama miaka miwil wameachana umri wao ni umri wa kukua na kusoma mazingira wanaona ndoa ni fashion kwamba ni kitu rahisi si kitu rahisi kuishi na mtu uliyekutana naye ukubwan kuvumiliana madhaifu na mengine meng
 
Sawa, hivi kati ya manzi mwalimu na polisi nani ninaweza dumu nae kwenye ndoa
Dah mkuu kama umeuliza ili swali achana na ndoa aisee,yan kwa kifupi bado haujui unachotaka mkuu..
Hili swali ni kati ya mwaswali ya ovyo huku jf ya kufungia huu mwaka..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…