Gen-z tulizeni mori!

Gen-z tulizeni mori!

Nashaangaa sana vijana wadogo kufunga ndoa halafu ghafla mwaka ama miaka miwil wameachana umri wao ni umri wa kukua na kusoma mazingira wanaona ndoa ni fashion kwamba ni kitu rahisi si kitu rahisi kuishi na mtu uliyekutana naye ukubwan kuvumiliana madhaifu na mengine meng
 
Back
Top Bottom