eFootball Special Thread

Nilitaka usipate goli mkuu, kabla ya mechi nilitaka nikwambie ushindi wako pekee leo ni kupata goli ๐Ÿ˜‚.

Nilikuwekea mbappe mbavuni kukuonyesha kuwa huo mfumo wako utakuwa ukifungwa sana kutokea pembeni.
Leo kidogo nimecheza mpira sijabutua sana japo imenicost game ya kwanza nimetoa Boko nyingi....

Ila hata hvyo nimejitaid kwenda na wewe leo..

Atleast nimeonesha uhai nafika golini napiga shoot
 
Hili swala la kuniambia nikipata goli ndo ushindi ungelisema aseee ningekukamia haswa haswaaa๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Washukuriwe Efootball kwa kunipa Pedri leo๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Leo kidogo nimecheza mpira sijabutua sana japo imenicost game ya kwanza nimetoa Boko nyingi....

Ila hata hvyo nimejitaid kwenda na wewe leo..

Atleast nimeonesha uhai nafika golini napiga shoot
Mwenyewe nimefurahia mechi mkuu, mpira ulikuwa kimbinu zaidi, uzembe kwenye mechi ya kwanza nikaruhusu goli wakati nilitaka usipate goli.
 
Ulikuwa serious kabisa leo hutaki nikufunge ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Hili swala la kuniambia nikipata goli ndo ushindi ungelisema aseee ningekukamia haswa haswaaa๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Mechi ya pili nikasema hii namalizana nae bila kupata goli, naona mtandao wako ukasumbua ๐Ÿ˜‚.
 
Hakika mkuu hata hii game ya mwisho nilitaka tumalize 2-1 ila wakati narudisha mpira kwa kipa ukauwahi ๐Ÿ˜‚.
Hii ya mwisho nilitaka nishinde kabisa ndo maana nikawasha ultra defensive maana wewe uliwasha attack moja nikasema hapa hapa nakaba counter moja imeenda...

Sema Amrabat kaka ulilamba dume๐Ÿคฃ๐Ÿ™Œ
 
Sikuwasha mkuu ila nilikuwa nakushambulia sana huenda ndiyomaana ikawaka yenyewe halafu hapa ndo najua kama iliwaka mie nilikuwa nawaza kupata goli lingine tu.
 
Matokeo ya Gasparini Day haya hapa...

Mechi ya pili game iliishia njian mtandao wangu ulikata...

Ila nimefungwa moja na Mungu siaidia nikapata sara moja๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ