eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Nilijitia tamaa nikaspin coins zangu kwa Cruyff coins 800 shwaaa zikabebwa ๐Ÿ˜„ ๐Ÿ’”
Kismart chako umehonga wapi? ๐Ÿ˜‚
Aah๐Ÿ˜…tunafanana ni bora nichome mia mia kuliko 900
Kijana unavimba ๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ

Acha mie nichome kwa CR7 halafu naanza kutunza zingine kwaajili ya world cup winner ๐Ÿ™Œ
 
Good evening๐Ÿ˜€
IMG_2934.jpeg
 
Back
Top Bottom