Shida labda ni FYuko mute kule kama hakuna kinachoendelea ๐
WarlD kaninyoosha room balaaUpo mzee?
Watamuua ๐๐
Me nacheza na upande tu anaoruka najua akiruka mara mbili halud tena mpk siku kadhaaJaribu kumfuatila siku kadhaa na uchezeshaji wa mikono
Amna mtu hapoNani anamjua huyu star?
Yani nikiangalia hizo pasi nakuona pro kama Corrie de killer, sifikishagi hizo namba ๐๐๐ pass zina shida gani zikiwa mingi
Hapo ndo huwa napiga mara nyingi, wiki yote hii nimemfunga kwa kupiga hapo, leo kaniotea ๐Kampelekea et kabisa kama anamdakisha rede๐
Eeh kaka asinifunge nyingi tu ntazila ๐
Code tukamuoneNani anamjua huyu star?
Mi mwema ๐๐๐๐ mwisho nitoke bila ndala huko
Fala ๐Bado hujasema๐๐
Bora wewe ulivyosema, Depal unionje tafadhali ๐Ukishindwa kumfunga Razorblade na huyu noob Corrie de killer basi waliobaki hawana wema.
Sa mbona hujatuonyeshaWarlD kaninyoosha room balaa
Niache ๐Fala wewe๐๐๐
Acha basi sasa kwa ubora gani niliokuwa nao na kila siku unanifunga halafu wewe ndo trainer wake ๐๐Watamuua ๐๐
๐๐ asante kwa doso.. wacha nijionjee Razor kwanzaUkishindwa kumfunga Razorblade na huyu noob Corrie de killer basi waliobaki hawana wema.
๐๐ unamfahamu?Amna mtu hapo