Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,531
- 34,799
๐๐๐Nitachange tu Id mimi kuepuka DhahamaEeh! Konami msijeruhusu nikafungwa na huyu noob, mnaweza fanya niombe ban kwa muda... Amiiin ๐๐๐
๐๐๐Nitachange tu Id mimi kuepuka DhahamaEeh! Konami msijeruhusu nikafungwa na huyu noob, mnaweza fanya niombe ban kwa muda... Amiiin ๐๐๐
Tutatumia Fluban yataisha hayo.Nimeota unataka kunitoa mafua ๐
Kweli upo mafunzoni ๐
Selikavu andaa pambano mkuu, naanza kuelemewa ๐Kesho ntakurekodia penalty yangu๐
We unampelekea mkononi kama mwacheza rede
Injury zitatawala mpaka subs ๐Umeisha๐๐
Yuko mute kule kama hakuna kinachoendelea ๐Kwan kelele za F zimetoka wap kama sio kule ๐๐๐
Kwahiyo shem amebeba mimba mpaka anajifunga mie sijui, mkuu kwanini umenificha taarifa kama hii?Muanze kunilipa nina familia saiv๐๐๐
Nimeshaanza kuogopa ๐๐๐๐Nitachange tu Id mimi kuepuka Dhahama
MnakimbianaUpo mzee?
๐๐ pass zina shida gani zikiwa mingiKweli upo mafunzoni ๐
Nitaiga kupiga tackles ila siyo hizo pasi ๐๐
Kampelekea et kabisa kama anamdakisha rede๐Mlidharau somo
Apo andaa room ukajichapie huyoKampelekea et kabisa kama anamdakisha rede๐
Amna me naona kipa wangu anaruka Vice versaMlidharau somo
Jaribu kumfuatila siku kadhaa na uchezeshaji wa mikonoAmna me naona kipa wangu anaruka Vice versa
๐๐ mwisho nitoke bila ndala huko
Ukishindwa kumfunga Razorblade na huyu noob Corrie de killer basi waliobaki hawana wema.๐๐ mwisho nitoke bila ndala huko