Hili linaweza kuwa kwel mzee๐๐๐Angekuwa nazo asingekuwa anakuja kuchamba umbea humu, ukute alikuwa winga wa kutafuta wacheza PlayStation kwenye ofisi ya mtu ndo apate hela ya kula ๐
Konami wameua ajira za watu ๐๐
NaamKaka
Unanichoma ๐Mnaziona tackles lakin๐
Mkuu acha nongwa kelele za hela waachie chura, au ka vipi tu display bank statement zetu hapa.Punguza kuchamba tafuta pesa kijana muda haukusubir
Kuchamba umbeya๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃfala sana weweAngekuwa nazo asingekuwa anakuja kuchamba umbea humu, ukute alikuwa winga wa kutafuta wacheza PlayStation kwenye ofisi ya mtu ndo apate hela ya kula ๐
Konami wameua ajira za watu ๐๐
Sijafungua game bado, nimeamua kupita huku kwanza nipate skills ๐
PpoaKaka
Nitakuchek mchana kama utakuwepo
Aaah nenda championship kapandishe team EPLuwezo kaka, offers ni nyingi mno ๐
Damn fwaak ๐๐Angekuwa nazo asingekuwa anakuja kuchamba umbea humu, ukute alikuwa winga wa kutafuta wacheza PlayStation kwenye ofisi ya mtu ndo apate hela ya kula ๐
Konami wameua ajira za watu ๐๐
Aah ngoja nichek uwezekano๐Unanichoma ๐
Twende tukamalizie somo kwanza kama uko pazuri
Kaka u jobless pro max acha tu, nisha enda hadi zile league za asia na south AmericaAaah nenda championship kapandishe team EPL
Kuna mechi nilicheza na mtu huko walivyoleta stats kitu cha kwanza kuangalia ilikuwa tackles ๐
Kazi kwel kwel๐คฃKaka u jobless pro max acha tu, nisha enda hadi zile league za asia na south America
Kwani ulikula kichwa cha pono? ๐Ili unikute nasinzia unibutue?
Sikuwa naelewa zile settings pale, mtandao wenyewe mgeni nao ๐Siku ile umestream uliweka setting za stream vibaya ilikua haionekani vizuri...
last sibling nisha mfundisha kucheza game za magari na Tekken, imagine nikipata wa kiume๐๐Kazi kwel kwel๐คฃ
Imegine uwe umejisahau umeenda room halafu injury ipo ON ๐Mnaziona tackles lakin๐
Huyo ni kumvungia tu awe anajijibu mwenyewe.Hili linaweza kuwa kwel mzee๐๐๐
Baba babaa ๐๐Kuchamba umbeya๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃfala sana wewe
Huyo jau ๐Damn fwaak ๐๐