eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Alijichanganya tuu๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ me siwezi muua๐Ÿ˜ƒ
Nkuonyeshe kitu.. mtu akicheka namfinya๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
IMG_1977.png
 
Hamkusema kama Ujerumani ndio mbad hivi
Kanibonda kama ngoma aisee
Lol, sitakii Selikavu naomba ile kikosi
Dembele sijaona alichofanya
Anaruka ruka tu kama anacheza rede
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ Hujacheza na wale computer uliowazoea huyo alikua ni mtu kabisa yupp na simu yake๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ


Nipe dakika kadhaa nakuchek tufanye transfer ๐Ÿ˜ƒ
 
Back
Top Bottom