eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Huyu angempata Guardiola wangu na van basten pale mbele mgekufa๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Long ball sipendi kutumia ila anaweza kunishawishi ngoja niende kwanza kwa kocha wangu AI ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Huyu Capello ndo kocha sasa na Link up play yake kdg ni nzuri sio kama Za wengine Yan huyu Nilikuwa nataka kumchukua martnez lakn ngoja nikusanye coin nimchukue ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Huyu Capello ndo kocha sasa na Link up play yake kdg ni nzuri sio kama Za wengine Yan huyu Nilikuwa nataka kumchukua martnez lakn ngoja nikusanye coin nimchukue ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Na ndo nahamia huko sasa LBC naijua tayali nataka LB sasa๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Nenda tu mie sibadilishi playstyle zangu, akija kocha wa hizi playstyle nishitue ๐Ÿ˜‚
 
Kwani hutaki uwe peke yako mkuu? ๐Ÿ˜‚

Unamshauri amuache Arteta ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Huwezi tuelewa kaka sisi wazee wa haram football ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒyan hapa nina coins 520 mpaka week ijayo naona mbali kwel ๐Ÿ˜ƒ
 
Hiyo link up ya capello ni ile ile ya Creative playmaker na fox in the box?
Hapana Orcharchestor na goal poacher sio Fox in the Box


Ndo maana nikasema Vitinha na Ronalod here we go๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Au wela visionary pass kabisa ya Alonso๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Hapana Orcharchestor na goal poacher sio Fox in the Box


Ndo maana nikasema Vitinha na Ronalod here we go๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Au wela visionary pass kabisa ya Alonso๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
DMF Orcharchestor na CF Adv Striker (Goal Pocher)

Me wa English ya US ukiniambia Pocher najua ni Fox in the Box maana kwangu kuna Adv striker na Pocher๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Back
Top Bottom