Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,039
- 12,571
Mnataka kumkimbiza sasa au mnatafuta wa kuwapa points ๐Inabidi na yeye ashiriki next league
Akiingia kwenye league itapendeza, vipigo vitamjenga ๐๐๐
Mnataka kumkimbiza sasa au mnatafuta wa kuwapa points ๐Inabidi na yeye ashiriki next league
Siku haiwezi isha bila kukuandama, huo utakuwa ugonjwa ๐๐๐Unataka kusema mimi sio๐๐๐
Kwake yeye me ni professional nimemzidi siku za kucheza...
Ndo nilichomaanisha ila kwakua unapenda vita ukaona unigande๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Uliza watu humu, mimi ni kibonde mkuu.Mkuu wait niive kidogo nipe siku 5 nijifue then nikuchallenge sasa hivi utanionea.
Unaona sasa mambo yako ๐๐๐Na atakupiga nyingi sana huyo hana huruma
Dah ananikandia ngoja waje wenye ushahidi wa matokeo uone navyokandwa.Nimeshtuka mkuu.
Alafu nione unatumia jina la noob tena tutatumia ushahid kukufunga. ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃBado sanaa mkuu ๐๐๐me mwenyewe na u pro wangu kona nimefunga 5 tuu ๐คฃ๐คฃ
Poa mkuu kesho kutwa tutacheza.Uliza watu humu, mimi ni kibonde mkuu.
Halafu kucheza friends ndiyo kutakuivisha ila siyo AI.
Ugomvi wa ndugu huu sisi hatuingilii ๐๐nyie pandeni tu matchDah ananikandia ngoja waje wenye ushahidi wa matokeo uone navyokandwa.
Kandambili1 Mill broh Mr Devil Gilberto_ njoeni muweke matokeo aone nilivyo kibonde.
Aah kumbe unawafunga mapro hongera sana mkuuAlafu nione unatumia jina la noob tena tutatumia ushahid kukufunga. ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Pa mkuu.Poa mkuu kesho kutwa tutacheza.
imebidi nicheke mkuu ...niemkufumga mara chache sana lakini kucheza na nyie sana Kunafanya nimejua aina ya wachezaji kwa wakati husikaAah kumbe unawafunga mapro hongera sana mkuu
Wewe ni master Pro sasa๐๐
Hatujapanda siku nyingiimebidi nicheke mkuu ...niemkufumga mara chache sana lakini kucheza na nyie sana Kunafanya nimejua aina ya wachezaji kwa wakati husika
Ngoja niweke line hewani kama upo twende...Hatujapanda siku nyingi
Twende ukanifunge basi ๐๐
Mkuu upo?Hatujapanda siku nyingi
Twende ukanifunge basi ๐๐
Yes nakuja mkuu ...namm ngoja niunge bundle apaNgoja niweke line hewani kama upo twende...
Nipo saa tano na nusu uje hapa utakuta code๐๐Yes nakuja mkuu ...namm ngoja niunge bundle apa
Amna shda mkuu ntarudi apaNipo saa tano na nusu uje hapa utakuta code๐๐
Twende nikachezee main account tuuAmna shda mkuu ntarudi apa
Nilitaka nikupeleke kwa Torres lakn nimeona niache tuuAmna shda mkuu ntarudi apa