eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Kwamba bila hela hukipati hicho
Wananua coin hao ili upate mchezaji kwa uhakika kwenye box la 150/150 inabidi uwe na atleast coin 10000. Ona bei yenyewe ya coin sasa๐Ÿ˜ƒ. Angalia bei ya coin sasa ๐Ÿ˜ƒ
Screenshot_20250420_122440_eFootball.jpg
 
Mimi ile afu mbili inaniuma adi leo๐Ÿ˜‚
Ilibaki kidogo nijichanganye ila nikajiuliza maswali sana, mimi ndo nachezesha haya makatuni kama sijui sijui tu hata niwe na kikosi kikubwa kiasi gani, niliachana na huo mpango baada ya kuona unaweza kutana na mtu kikosi kina 2000+ na ukapigiwa mpira huo mpaka unatamani kuforteit mechi ๐Ÿ˜‚.
 
Back
Top Bottom