eFootball Special Thread

๐Ÿ˜นamna namna dash&pressure ukishindwa panda ndege, sema me nawalamba sana buti yan match haiishi bila card
Kwenye hii update mwenyewe nishakula nyekundu, mtu kanipiga goli 2 halafu akapiga through yenye smart assist ndani yake mpira ukadondoka mbele ya forwad wake akaanza kunidimua ๐Ÿ˜‚

Nikashikilia dash mpaka kumkaribia nikapiga tackling moja matata, ni vile injury tunaweka off ila kama ingekuwa on naona machela ingeingia uwanjani ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ