eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Ukichagua region kuna baadhi ya event hauchezei team za Europe
Niliona sana hii kwenye account ya Japan

Kama uliweka Brazil hapo tafuta card za league ya brazili za kutosha pale kwenye nominating contract kwenye event za hivyo unawaweka wao kidogo unapata bonus points kubwa..

Pia unaweza nunua hata wa GP ili upandishe point mapema upewe chance deal
Huu ushauri ilitakiwa niupate mapema๐Ÿ˜ข
 
Huu ushauri ilitakiwa niupate mapema๐Ÿ˜ข
Hakuna kilichoharibika kaka๐Ÿ˜ƒuna siku 365 mwakan utachange tuu..

Ila kwa sasa zile nominating character zako za nne na tano uwe unanunua Wachezaji wa Brazil..


Maaan hata PVP naZo utakuwa unatumia team za Brazil

Ila sio kila week ni mfano week hii events za Brazil week ijayo unalud Europe ndo hivyo


Kwahiyo kwenye event za Ai unawapanga Wachezaji wa Brazil points za bonuses zinakuwa nyingi kama kawaida tuu
 
Outwide team inapasuka kati kati๐Ÿ˜€
Nimecheza link up ya Dimarco Cross specialist na Fox in box Halaand aseee๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Basi tuu Outwide ni ushenzi ila combo tamu sana๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ Dimarco akishika mpira tuu Halaand ananyanyua mkono baba mwaga majaro๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Kuna mtu alikuwa anamtaman bastoni aya konami wamesikia kilio chako๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Screenshot_20250814-222753.png
 
Back
Top Bottom