eFootball Special Thread

Wataleta tuu๐Ÿ˜vingi bado hawajaweka
 
Sema mkuu hujataka kuchelewa mpaka graphics za stadium umedownload.
Sijadownload chochote zaidi ya kuupdate game kaka.. kuna setting mpya ya kuchagua rangi ya uwanja.
eFootball Stadium kuna sehemu unachagua rangi unayotaka unakuwa unautumia, ko kwenye mechi hata kama hauja download viwanja tayari utakuwa na vyako vitatu.
 
Aisee sasa username yangu niliyoitoa itarudi kuwa jina la viwanja vyangu ๐Ÿ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ