Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,039
- 12,571
Safari hii wanaweza kula pesa yangu hawa umbwa ๐๐๐
Safari hii wanaweza kula pesa yangu hawa umbwa ๐๐๐
Pesa yangu nilie kwanza kabla sijaitoa ๐ญ๐Elfu mbili shwaaa๐๐View attachment 3441167
Huyo kwangu sherehe tu mie wa free cards ๐Amna ana phenomenal pass mzee๐๐
Sjawahi kwenda sehemu ya kuwasha smart assist mkuu waliwela wenyewe ๐คฃ๐คฃ๐คฃIla smart assist unaijua vizuri tu.
Sawa ๐Sjawahi kwenda sehemu ya kuwasha smart assist mkuu waliwela wenyewe ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
We badae iwashe tupande mkuuSawa ๐
Niliwasha siku ile friend match tukatoa sare, nimeachana nayo kitambo sana hiyo sasahivi inanipa tabu tu.We badae iwashe tupande mkuu
Hahahaha mkuu sawa mm ntaturn off safari hii nioneNiliwasha siku ile friend match tukatoa sare, nimeachana nayo kitambo sana hiyo sasahivi inanipa tabu tu.
Aweeee me bado nitahangaika naye siku zijazo
Bado saana๐น
Kwenye kocha sijamuona mimi, graphics kwangu ni standard.Kwenye upigaji imekuwaje?
Kocha uwanjani anaonekana au uchawi tu kama kawaida?
๐ nitazijulia tu..Tupumzike sasa na Tony Adams ๐๐
Kule kwenye e-points zimeletwa card zipi?Mapema sana leo ๐
Safarii kama mbwai mbwai tu, embu nipe stats za huyo LB kwanza ๐Aweeee me bado nitahangaika naye siku zijazo
Amna kipya ningekuwa nishakuletea..Kule kwenye e-points zimeletwa card zipi?
102๐๐sijajua booster yake ni ipi sasaSafarii kama mbwai mbwai tu, embu nipe stats za huyo LB kwanza ๐
Anafika OVR ngapi?
Yupo yule yule CamavingaKule kwenye e-points zimeletwa card zipi?