eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

IMG-20250813-WA0143.jpg


Tukagueni mapema wakuu, mimi naetumia Oppo(Copy) naomba hili panga lisinikute ๐Ÿ˜‚
 
Acha matusi mkuu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Samsung natumia kwa mawasiliano ila kwenye game natumia Oppo tena copy na hapo sijaiona hata Oppo original ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Nilikuwa nawaza nipate simy nyingine before update lkn ngoma imekuwa ngumu
 
View attachment 3439666
Nimeujaribu huu mfumo mechi kadhaa nimeona kuna utofauti hasa kwenye kuzingatia stamina za wachezaji, tofauti na naotumia sasa wachezaji wanachoka mapema na vile sipendi kwenda kufanya subs katikati ya mechi basi imekuwa changamoto.

Selikavu ndiyo sababu maana alikuwa akimuelekeza Warld kukabiliana na formation yangu bila papara ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hata sub hayupo mzee๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ vick van de Van maspeed๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Back
Top Bottom