Leao ni Drogba wako wa nne na Amrabat kama kifungashioKhalas ๐
Make hapo kwanza ncheke... ๐Leao ni Drogba wako wa nne na Amrabat kama kifungashio
Live Booster ya shooting ikiwaka hiyo๐คฃ๐คฃ๐คฃmtaumuka sanaMake hapo kwanza ncheke... ๐
Huyo Leao wa live booster au mwingine? ๐๐๐
Card gani sasa hiyo kama unabet ๐Live Booster ya shooting ikiwaka hiyo๐คฃ๐คฃ๐คฃmtaumuka sana
Ataanzia sub, nataka kutumia 3F(1CF) ๐Saiv nitakuwa nakaba mpka akimbie
Relax Leao kama pedri kila week form ni A au B๐๐Card gani sasa hiyo kama unabet ๐
Kwann unampenda sana Beraldo๐๐au kisa ana visionary pass mweke mtu kazi VVD hapoAtaanzia sub, nataka kutumia 3F(1CF) ๐
Mie najua unamsifia kwa sababu huna mbadala wake ๐๐๐Relax Leao kama pedri kila week form ni A au B๐๐
Mkuu Beraldo rate zake kwenye defence ni kubwa kuliko huyo VVD, hata wewe ungekuwa nae usingemuweka nje na kumuanzisha VVD.Kwann unampenda sana Beraldo๐๐au kisa ana visionary pass mweke mtu kazi VVD hapo
hiyo card ya VVD wa 101 kaka huijui tuu ni complete package aseee na Cannavarro itakuwa partnership nzuri sanaMkuu Beraldo rate zake kwenye defence ni kubwa kuliko huyo VVD, hata wewe ungekuwa nae usingemuweka nje na kumuanzisha VVD.
Ninao Foden na messi๐๐Mie najua unamsifia kwa sababu huna mbadala wake ๐๐๐
Mkuu hiyo rate ya 101 tu, hamna kitu hapo maana amezidi kwenye header tu ila kwingine kote ni takataka.hiyo card ya VVD wa 101 kaka huijui tuu ni complete package aseee na Cannavarro itakuwa partnership nzuri sana
Sawa.Ninao Foden na messi๐๐
Mimi nitamuomba huyo mkuu na AmrabatMkuu hiyo rate ya 101 tu, hamna kitu hapo maana amezidi kwenye header tu ila kwingine kote ni takataka.
Amrabat hawezi kupa ๐๐Mimi nitamuomba huyo mkuu na Amrabat
mbona niliona hamtumii hivi karibuni mkuu hahahaAmrabat hawezi kupa ๐๐