Div 2Ana Badge ya div 1??
Honger mkuu push push ufike division 1 update ijayo wanadai kutakuwa na Free spine kwa Watu wa division oneDiv 2
Katika mechi 3 za division mbili ni script siwezi kutoboa.Honger mkuu push push ufike division 1 update ijayo wanadai kutakuwa na Free spine kwa Watu wa division one
Wapinzani hawajatokeaKwahiyo anayeongoza msimamo hajacheza mechi hata moja.
Unakaza tuuKatika mechi 3 za division mbili ni script siwezi kutoboa.
Amani ninayo mkuu wala usiwe na shaka, muda wangu ni kuanzia saa 4.Tuguse sahizi ili uwe na amani.
Dvn 2 mkuu.Ana Badge ya div 1??
Mbona kama unataka kunijaza mkuu ๐Honger mkuu push push ufike division 1 update ijayo wanadai kutakuwa na Free spine kwa Watu wa division one
Razorblade hana chake hapa๐Honger mkuu push push ufike division 1 update ijayo wanadai kutakuwa na Free spine kwa Watu wa division one
Ngoja nipambane.Unakaza tuu
Univizie nikiwa nasinzia ๐๐Amani ninayo mkuu wala usiwe na shaka, muda wangu ni kuanzia saa 4.
Nafikiria free spin tu, mtanifanya nikeshe dvn nyie ๐Razorblade hana chake hapa๐
Hata mimi huo muda huwa nacheza nimalize haraka maana ni muda wa hekaheka kwangu ๐Univizie nikiwa nasinzia ๐๐
Division 2 ishakuzoea fanya uhame aisee๐Nafikiria free spin tu, mtanifanya nikeshe dvn nyie ๐
Naelewa hizi kazi๐๐unakutana na Bale wa 107 pale anasoma 105 hata usihangaike... jiulize tuu hizo zimeongezewa wap๐๐utajua uwanjani ๐คฃ๐คฃ๐คฃbale anakimbia kama upepoFamilia kabisa wewe code umeielewa๐ View attachment 3434080
Utabaki wewe tuu๐คฃ๐คฃ๐คฃMbona kama unataka kunijaza mkuu ๐