Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,913
- 10,745
Eeh ulizani utani๐๐
Eeh ulizani utani๐๐
NipoWapi mzee wa Totti
Mkuu hukutokea mechi ilikuwa jumatatuEeh ulizani utani๐๐
We jamaa umepoteaNipo
Naona kabisa umedhamiria kunifedhehesha leo, ngoja nijiandae kiakili ๐Au nkupe point mapema ili kuepuka fedheha๐๐
Mapema sana, lazima nijiandae ๐Ushachungulia kikosi ๐๐
Kikosi chako kishantisha naona batigoal akiondoka na mpiraMapema sana, lazima nijiandae ๐
Dah! Shivo naona unanijaza ๐Kikosi chako kishantisha naona batigoal akiondoka na mpira
We mtu uko na ukuta wa berlin sioni kwa kupitaDah! Shivo naona unanijaza ๐
Selikavu ona huyu mtu aisee.We mtu uko na ukuta wa berlin sioni kwa kupita
Nimeshituka kaka, naona anampango wakuniteketeza room ๐Michezo hiyo unachezewa kaka
Aisee hii sasa hatari ๐Mungu saidia nipate point sita leo kama wengine opponent asilete team uwanjani kama siku zote๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Dua la kuku๐๐๐Mungu saidia nipate point sita leo kama wengine opponent asilete team uwanjani kama siku zote๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Hii michezo tunaijua, usidanganyike na hiyo back 3 hapo nyuma mkuu ๐Yani naangalia kila mfumo naona siwezi kutoboa
Kikubwa uludi salama ukifa nitamcheka nani sasaNimeshituka kaka, naona anampango wakuniteketeza room ๐
Maswala siku zote hakuwepo leo ndo kaja limenisikitisha sana, ๐Aisee hii sasa hatari ๐
Asinikamie tu maana mie bado noob ๐Kikubwa uludi salama ukifa nitamcheka nani sasa