eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Aliyekula kala ๐Ÿ˜‚
IMG-20250804-WA0016.jpg
 
Kwa hapa nilipofikia Vita ya div one imetosha๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒnitakuwa na Rank nzuri nzuri nzuri kidogo maana napigwa adi nashuka 1740 naanza tena safari ya kulud๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Imetosha


Coins zangu zimeishia pale kwa ronaldo na nitalud tena๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Screenshot_20250804-181322.png
 
Na week hii Alhamic hakuna Form update ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Back
Top Bottom