eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Mimi nataka kujua game, sitaki kucheza game ๐Ÿ˜‚

Kuna watu unaweza kutana nao dvn yani we butua ila yeye akishika mpira kazi unayo, boli linatembea chini tu halafu speed yake ni balaa ๐Ÿ˜‚
Hizo level tutafika tuu ila kwa sasa


Mpira Magoli๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Mpira magoli kaka burudisha watu lakn shinda...


Me nijue kukaba tuu basi nimemaliza ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Sasa nitakuburudishaje bila kukufunga, yani nataka nikiwa namfunga mtu akasirike hadi atamani kutupa simu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom