Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,039
- 12,571
Lazima tutengeneze uhalisia hatakama ni game, maneno ya uchochezi na kutiana presha yananogesha ๐๐๐Unapenda sana vita๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Upo nae leo jioni mechi mbili ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Nenda training ๐ซต๐คฃ๐คฃ
Inanitosha hiyo๐ nahitaji beki wa kuendana na CannavarroEndelea kupambana mkuu, tafuta rank za juu ๐
Huwezi shindwa vita vyote sio๐๐Lazima tutengeneze uhalisia hatakama ni game, maneno ya uchochezi na kutiana presha yananogesha ๐๐๐
Hanitishi huyo maana siku ile nilimuwekea Amrabat tu kahaha, ashukuru lile goli la Tony ๐Nenda training ๐ซต๐คฃ๐คฃ
Hiyo card ya VVD hata mimi naitaka ila upuuzi wa kucho.a coins sifanyi, acha aende tu ๐Inanitosha hiyo๐ nahitaji beki wa kuendana na Cannavarro
Naitaman sana card ya VVD pale
Roho ya kuchoma coin iniepuke๐๐๐
Misimu minne Simba amekosa ubingwa lakinj zile kelele za Ahmed Ally zinatuliza mashabiki ๐Huwezi shindwa vita vyote sio๐๐
Ngoja nitajaribu bahati baadae๐๐Hiyo card ya VVD hata mimi naitaka ila upuuzi wa kucho.a coins sifanyi, acha aende tu ๐
Na Ahmed ally anatuwezea fala yuleMisimu minne Simba amekosa ubingwa lakinj zile kelele za Ahmed Ally zinatuliza mashabiki ๐
Hamna kazi hapo, nimecheza nae mechi 1 tu alikuwa anahaha uwanjani ๐๐๐Gilberto umewai mfunga kwan๐๐๐
Kazi njema.Ngoja nitajaribu bahati baadae๐๐
Coin zipo tuu
Sasa subiri kiwake upande wa pili utasikilizia milio ๐Na Ahmed ally anatuwezea fala yule
Sema humu tumetumiana username halafu kuna wengine wamebadilisha, kuna mtu kila nikifungua game nakuta invite yake anajiita IGOKO na sijui ni nani maana hili jina limebadilishwa ๐๐๐๐น๐น yote aya kasababisha Mill broh habari yako ilkua iishie jana
Anavizia sana huyo ๐Ngoja niende training maana Mr Devil Anacheza total football ๐
๐ kama drogba wako sioAnavizia sana huyo ๐
Yule mtu mkuu halafu kuna watu wanalalamika ni mzito ๐๐ kama drogba wako sio
I'm your fan man ๐จWakuu finally i can seat in with legends NEGAN Gilberto_ na Mill broh View attachment 3428059
Ndugu zangu Edo kissy Mr Devil kwaherini
Razorblade sina cha kukuambia๐คฃ๐คฃ๐คฃ