eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Na wala sitaki kusikia chochote we chukua badge yako pigia picha mie sina huo muda ๐Ÿ˜‚
Gq5V6PUWoAAjdTE.jpeg
 
Uchawa kwenye coins zangu sitaki ๐Ÿ˜‚

Siwezi tupa hizo coins kwenye ile pack, angekuwa RMF(Creative playmaker) ningepita nae ila ni RWF(Prolofic winger) hapana.

Kwa sasa nahitaji RMF na LMF pamoja na SS wa asili.
Nimecheza na profilic winger mbeumo SS anacheza vzr sana


But ni suggestions tuu 105 ile kijana๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Nimecheza na profilic winger mbeumo SS anacheza vzr sana


But ni suggestions tuu 105 ile kijana๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Sifati OVR mimi, kwanza hakana nguvu kwenye kukaba pia hamna kazi halafu kumbuka natumia back 3.
 
Back
Top Bottom