Itakuwa booster na kochaKwangu kabaki 105 ila kawa fundi zaidi ๐
Huyo booster yake ni Saving, muhimu awe mzuri zaidi hiyo rate hainafaida kama ni shati.Itakuwa booster na kocha
Unaweza kuta Mr Devil kamfunga striker instincts ๐๐Huyo booster yake ni Saving, muhimu awe mzuri zaidi hiyo rate hainafaida kama ni shati.
Kapanda nme mpa saving , nilkua nme ishiwa booster, na booster ya mwisho akala striker instinct kaishi nayo iyo iyo siku zote izo๐น๐นUlimfunga booster gan
Ulikua sahihi ๐น๐นUnaweza kuta Mr Devil kamfunga striker instincts ๐๐
Konami jau sana๐๐๐Ulikua sahihi ๐น๐น
Unaweza kuta Mr Devil kamfunga striker instincts ๐๐
Daah ๐๐๐Kapanda nme mpa saving , nilkua nme ishiwa booster, na booster ya mwisho akala striker instinct kaishi nayo iyo iyo siku zote izo๐น๐น
Hahaha hizi booster random ni moto mkuu hahahaha ..Kapanda nme mpa saving , nilkua nme ishiwa booster, na booster ya mwisho akala striker instinct kaishi nayo iyo iyo siku zote izo๐น๐น
Niliachiwa na raraa reree๐๐๐Kwani Edo kissy unatumia bot au maana unareact haraka sana ๐
Daah! Kweli aisee ๐Niliachiwa na raraa reree๐๐๐
Naona opponents wanatukimbia mkuu ๐Hatari sana
Ngoja niendelee kumsubiri opponent wangu naona wako kashafika.Mr devil Mzee wa saa Tano.