eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Mkuu embu chukua hiyo table halafu mpe jirani yako aiangalie ๐Ÿ˜‚

Wewe unachotaka kuchezesha hakipo ila chuki binafsi ๐Ÿ˜‚
Sasa kaka unataka nibadilishe sheria kisa wewe umefikisha point 6๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Wajumbe niliwaomba huyu mtu abaki huko huko chini asije juu๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒmmemwacha ona anaanza kutamba sasa๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Mkuu mimi sijitetei hapa ila kchezesha play off katika ya Mr Devil mwenye point 3 na Edo mwenye 0 siyo sawa, kuchezesha play off kati yangu mwenye point 6 na Mill mwenye point 3 siyo sawa.

Hapo Edo anatoka moja kwa moja halafu naenda kama best loser kisha napaswa kusubiri mshindi kati ya Mill na Mr Devil hii ndo itakuwa sawa.

Selikavu anayake tu siyo kwamba haelewi ๐Ÿ˜‚
Kaka panga unavyotaka iwe hakuna neno... Nitumie niweke hivyo sio kesi๐Ÿ˜ƒ
 
Ligi ijayo approximately wataongezeka watu wanne.. jumla tutakuwa kumi mfumo utakuwa ni huu huu

Tunaanza na League game tatu/nne

Tunaenda playoffs namba 3 mpaka namba 6

7,8,9 na 10 wanakuwa wameaga
 
Sasa kaka unataka nibadilishe sheria kisa wewe umefikisha point 6๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Wajumbe niliwaomba huyu mtu abaki huko huko chini asije juu๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒmmemwacha ona anaanza kutamba sasa๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Hapo siyo kubadilisha sheria mkuu ila hiyo itakuwa utapeli unafanyika, sheria ya kucheza play off izingatie table ๐Ÿ˜‚

Mimi hata ukiweka tucheze hiyo play off nitacheza ila inakuwa haipo kimichezo ndiyomaana nilipendekeza itumike format ya UEFA.

Mimi hata ningekuwa na point 3 bado huwezi chezesha play off kwa namna table ilivyokaa ๐Ÿ˜‚
 
Ligi ijayo approximately wataongezeka watu wanne.. jumla tutakuwa kumi mfumo utakuwa ni huu huu

Tunaanza na League game tatu/nne

Tunaenda playoffs namba 3 mpaka namba 6

7,8,9 na 10 wanakuwa wameaga
Weka mfumo wa point hii haiko sawa mkuu, idadi ya point kadhaa wanakuwa qualified kwa round inayofata chini ya hapo wanacheza play off kwa kuzingatia idadi ya point na wengine kuwa eliminated direct wakikosa point za kucheza play off.

Bora shindano liwe fupi lakini liwe limeenda sawa kuliko kuwa refu halafu haliko sawa.
 
Tumia format ya UEFA mkuu.

Qualified(Idadi ya point)
Playoff(Idadi ya point)
Eliminated(Kushindwa kufikisha point za playoff)
Kumbe hukufuatilia kaka

Haikuwa idadi ya point ilikuwa ni hivi wa 9 mpaka wa 24 wanacheza playoff

Club Brugge kamaliza na point 11 nafasi ya 24 kapita playoffs

Dinamo Zagreb kamaliza na point 11 nafasi ya 25 katoka

Wewe na point zako 6 best loser okay๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Mamiyake ๐Ÿคฃ
Screenshot_20250801-071709.png
 
Kumbe hukufuatilia kaka

Haikuwa idadi ya point ilikuwa ni hivi wa 9 mpaka wa 24 wanacheza playoff

Club Brugge kamaliza na point 11 nafasi ya 24 kapita playoffs

Dinamo Zagreb kamaliza na point 11 nafasi ya 25 katoka

Wewe na point zako 6 best loser okay๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Mamiyake ๐Ÿคฃ
View attachment 3426624
Mkuu unataka koforce, hapo baada ya kufungana point wameangalia Goal Difference na ndo kitu ambacho nilitaka niseme pia ๐Ÿ˜‚
IMG-20250130-WA0011.jpg

Weka hizo play off tucheze hakuna tatizo ๐Ÿ˜‚
 
Wakuu polen na match za leo kwa wale mliofanikiwa kucheza Hongeren ...

Kwa wale wa point za mezani sina cha kuwaambia๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Matokeo ya leo ni hayaView attachment 3426563

Msimamo View attachment 3426564

Hatua inayofata ni playoffs kama ambavyo nilitoa ratiba itakavyokuwa kulingana na msimamo mechi za playoffs ni zifuatazoView attachment 3426568
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… mtu na points zake 6 anapambania playoff..

Razorblade tupo pamoja na wewe mpaka utoke ๐Ÿ˜‚
 
Mkuu unataka koforce, hapo baada ya kufungana point wameangalia Goal Difference na ndo kitu ambacho nilitaka niseme pia ๐Ÿ˜‚
View attachment 3426649

Weka hizo play off tucheze hakuna tatizo ๐Ÿ˜‚
Siforce kaka nimekuelezea

Huyo mtu unayesema hana point kikanuni alikuwa na point 3 na magoli matatu ya siku ya kwanza kwa sababu opponent hakutokea lakin alikubali kucheza siku inayofata....

Bado game yake moja hakucheza na alikuwa na room ya kucheza lakin akaomba opponent apewe point

Kwahiyo issue sio point kaka ni mfumo tulivyokubaliana
 
Sasa hili ni kosa la promoter kutosimamia vizuri, tulikubaliana mwisho kucheza ni saa 6:00

Kama ungefata sheria ya muda wa mechi haya yasingejitokeza ๐Ÿ˜‚
 
Sasa hili ni kosa la promoter kutosimamia vizuri, tulikubaliana mwisho kucheza ni saa 6:00

Kama ungefata sheria ya muda wa mechi haya yasingejitokeza ๐Ÿ˜‚
Ndo league imeanza mkuu muda mwingine tunatumia busara..

Point za mezani hazinogi๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ ingia room uumuke
 
Mill broh me shabiki yako kaka๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Ukikosa muda nipe account yako nicheze nae nimwekee back five na full blue bars game ikianza ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Lazima akabe back 5๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Back
Top Bottom