Mr Devil good game mkuu View attachment 3426550NEXT???๐
Hamna ila simu yangu leo inazingua kiasi kwahiyo aje ajinyakulie point zake ๐Mkuu umejikatia tamaa ๐
๐๐Aah sawa sawa mkuu๐๐๐
Promoter muda unaenda na opponent hatokei, imekaaje hii? ๐๐๐Aah sawa sawa mkuu๐๐๐
Utakula point tatu kakaPromoter muda unaenda na opponent hatokei, imekaaje hii? ๐
Tuma table mkuu.Play offs
3 vs 5 (Cap 1)
4 vs 6 (Cap 2)
Nusu itakuwa hivi
1 vs winner of Cap 2
2 vs winner of Cap 1
Mkuu hapo umezingua, nilitakiwa nipite kama best loser.Wakuu polen na match za leo kwa wale mliofanikiwa kucheza Hongeren ...
Kwa wale wa point za mezani sina cha kuwaambia๐คฃ๐คฃ
Matokeo ya leo ni hayaView attachment 3426563
Msimamo View attachment 3426564
Hatua inayofata ni playoffs kama ambavyo nilitoa ratiba itakavyokuwa kulingana na msimamo mechi za playoffs ni zifuatazoView attachment 3426568
Njia yangu ilikua ngumu sana๐Hii league inasema hakuna kumkimbia mtu mtacheza tuu๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Unaogopa playoff kijana๐Mkuu hapo umezingua, nilitakiwa nimite kama best loser.
Hapo wa mwisho anatakiwa atoke moja kwa moja halafu wa 4 na 5 ndo wacheze play off, kunipanga nicheze play off hapo itakuwa siyo sawa.