eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Kama Mill Broh asipotokea Nitacheza mimi๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒnitaweka kikosi changu kwa mtu nicheze mechi zote tatu leo leo๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Hapana hiyo haikubaliki, mechi zinachezwa kwa ratiba ๐Ÿ˜‚
 
Ikifika mpaka saa 12 jioni Mill hajatokea itabidi upewe win ya kiporo cha jana.
Mnapenda point za mezani๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Namleta mtu๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒmgen ngoja nimwambie afungue Id๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ


Gilberto_ unajua ni nani namleta Stay tuned๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Back
Top Bottom